Wednesday, September 28, 2016

NJIA ZA KUKUSAIDIA KATIKA KUFIKIA MALENGO YAKO

Habari za Leo ndg yangu,rafiki zangu,kaka zangu ,Dada zangu,karibun sana katika kuendelea kushauriana na kupambanua mambo yaliyo muhimu katika malengo ya maisha yetu.
   Siku ya Leo napenda tuangalie ya kwamba ni namna gan utafikaia malengo yako endapo utatumia baadhi ya njia kama zifuatazo
Cha kwanza inabid tutambue maana ya vitu vifuatavyo ambavyo ndivyo vitu muhimu kukufikishia lengo lako.
  1:Ndoto
Hii ni fikra au maono ambayo mtu humjia kichwan mwake kutokana na vile vitu apendavyo viweze kutokea maisha yake.ambapo hii ndio njia ya kwanza muhimu ambayo ukiweza kuwa na ndoto ya kuweza kufanya kitu fulani na kukifanikisha huwa na mafanikio yaliyokuwa kuwa tayar umeyapanga kichwan mwake.
   2:Malengo
Hii ni njia nyingin ambayo kutokana na ndoto yako huja kutengeneza kutengeneza malengo.ambapo haya malengo huwa ni ndoto ambayo mtu hujipangia ya kwamba katika kufanikisha i nabidi nitumie muda gan na vitu gan katika kufikia lengo
  3:Mikakati
Hii ni mipango ambayo mtu hujiwekea katika ndoto zake na malengo yake ambapo i nabidi tutafakari ya kwamba katika Mikakati yangu ya kufanukisha hili i nabidi nianze na kipi na nimalizie kipi ili pale uanzapo usiweze kupata shida.
4:Action/vitendo
Sasa hapa ndipo ufanikishapo lengo lako kutokea katika ndoto mpaka vitendo na ndipo ufanyapo na utekelezspo ndoto zako kupata
mafanikio .

    Ndoto
        ⬇     
   
   Malengo
         ⬇
  Mikakati
         ⬇
  Action(vitendo )   
KATIKA vitendo ndio sehemu ambapo utavifanyia kazi vile vyote ulivyojifunza kwa nadharia na kufanya kwa vitendo zaid.
   Lakn pia katika hivyo vilivyopo hapo juu inatakiwa uweze kujiwekea
   1:muda
Hapa unajipangia ni kwa muda gani niwe nimefanikisha lengo au mafanikio yangu
2;kipimo
Hapa unajiwekea kipimo ya kwamba kufikia muda fulani nitakuwa nimefanikisha lengo Lang kwa kipimo cha asilimia kadhaa na baadae kias kadhaa
3;level utakayo
Sasa hapa unaangalia je katika maisha yangu yahitajika niwe level ya aina gan.mfano kama una lengo la kuwa mfanyabiashara  je unataka uwe wa level ya kimkoa kitaifa au kimataifa .
   KATIKA maisha ya mafanikio hivyo vitu vyahitajika sana uvitambue .
     Nakutakia siku njema na majukum Mema katika kufikia nia na malengo yetu
MUNGU yu pamoja nasi usikate Tamaa mtegemee MUNGU kila siku ianzapo na iishapo kwa maana ni rehema na neema zake tu.
  Phone 0755778896
Email:barakaasajilemwakyoma@gmail.com

Tabia zinazoleta mafanikio katika maisha yako

Habari za Leo ndg ,jamaa,rafiki na wengne wote tulio na lengo la kuweza kujikwamua kiuchumi kutokea katika nyanja tulizopo na kwenda katika nyanja za hali ya juu.
Siku ya Leo tunaanza na Tabia moja kabla ya nyingne
   1.Tabia ya utoaji
Hii ni mojawapo ya sababu ya muhimu ya kuweza kukukwamua Toka nyanja ulizopo na kwenda zngne kwa kuweza kitaa kwa moyo wako katika kuweza kusaidia jamii ikuzungukayo kama vile

  Yatima :hili ni mojawapo ya kundi ambalo linahitaji msaada wa hali nzuri kwa ajili ya kuweza kuwajali na kuwatunza kutokana na mazingira waliyopo.

     Wasiojiweza(wazee ):hili ni miongon mwa kundi lililopo katika jamii yetu na kila siku linahitaji msaada mkubwa katika kuweza kuwasaidia katika hali tofauti tofauti kama kupata chakula,mavaz.na vingne ving vilivyo muhimu kwa kila binadamu katika maisha.
  Vilema :hili pia ni kund ambalo linatuzunguka katika jamii zetu ambalo huhitaji msaada mkubwa katika nahitaji muhimu ya binadam.
  Wajane ;hili pia ni mojawapo ya makundi yaliyotuzunguka katika jamii na ambayo yanahitaji msaada mkubwa katika mahitaji muhimu ya mwanadamu (chakula,Malazi,mavaz,n.k)
   Kumbuka
KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI
TOA BILA KUTARAJIA CHOCHOTE
BALI MUNGU PEKEE NDIO WA KUKULIPA FADHILA ZAKO ULIZOZIFANYA.
    GIVING◀▶RECEIVING

Nakutakia siku njema na Mungu akubariki
Phone no 0755778896
Email:barakaasajilemwakyoma@gmail.com

Sunday, September 11, 2016

MBINU ZA KUONGEZA WATEJA KATIKA BIASHARA YAKO

Tukiwa katika harakati za Biashara Wateja ni Dhahabu kwetu.Imekuwa ni kawaida watu k=usema Mteja ni Mfalme.Ni kweli Mteja ni Mfalme na ili uweze kufanikiwa katika  katika Biashara yako .
               Yafuatayo ni mambo ya muhimu katika kuongeza wateja katika biashara yako
    1.Mapokezi mazuri
Daima huwa twasema  siku njema huonekana asubuhi ambapo ndio muda ambao huanza ukiwa na nguvu na akili iliyo katika hali nzuri .sasa endapo umefika ofsini kwako na kukutana na mteja umpokee katika hali nzuri na mapokez mazuri ili aweze kuona hapa ndipo panapofaa kutokana na mapokez yanayofurahisha na kuridhisha.
  Mfano katika ofs za mgahawa ukimpokea kwa shamlashamla na kumwambia Karibu san mteja karibu kiti na ndipo baada ya hapo unaanza kumuuliza na kumsikiliza au unampa menyu yako ya vyakula ulivyo navyo na ndipo atakupa jibu atakacho.
  2.Ukarimu
Kila siku ukarimu huwa ni njia mojawapo ya kumteka na kumfurahisha mteja wako ili hata w akati mwingine ajihisi yupo Mahal panapomfaa na kuwa hajakosea kufika katika ofs hiyo.
3.Bidhaa yenye ubora
Katika kupata mteja aliye mzuri na aliye wa kudumu umuuzie bidhaa iliyo bora na iliyo katika kiwango cha kuridhidha ili atakapo weza kununua hapo hata siku nyingne atakuletea mteja mwingine.
 

FURSA ZA AJIRA ZILIZOPO TANZANIA

Ikiwa ni Makala nyingine Inayoelezea fursa za ajira,Ningependa Twende Pamoja Mpenzi msomaji wa Mtandao huu.

Ajira imekuwa ni Gumzo kubwa kwa miaka ya sasa.Kila Mwaka Maelfu ya watu Wanahitimu Ngazi mbalimbali lakini ni wachache tu wanaofanikiwa kupata ajira.lakn pia sisi kama vijana i nabidi tutumie akili nyingne ya ziada katika kupata ajira.kulingana na ajira zetu.

Minun tano zitakazokufikisha katika Utajiri


Tukiwa katika hjarakati za kila siku za kuusaka Utajiri Wengi huishia Njiani na huwwacha Wachache Wanaofikia Utajiri
Kikwazo kikubwa kinachowazuia Watu kuufikia Utajiri ni hivi hapa.....
1;kuamua kuwa unaweza kuwa tajiri.
2:kuthubutu kufanya mambo mkubwa yatakayo kuletea faida mbeleni.
3;kupenda mafanikio ya haraka
4;maamuz
5;kutopenda kujifunza Toka kwa waliofanikiw
NA MENGNE MENG .MUDA UJAO TUTAZD KUIFAFANUA NA KUIPAMBANUA KIUNDANI ILI UWEZE KUJIFUNZA ZAID PENDA KUTEMBELEA UKURARSA HUU NA KUUSOMA ILI KUKIFUNZA ZAID
           NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA .
BY MR B MWAMPULULE.

JIONSI YA KUPATA MTAJI WA BIASHARA

Karibu mpenzi na rafiki msomaji katika Mtandao huu wa MBINU ZA MAFANIKIO.
    Nikukaribishe katika makala hii iliyopo katika kipengele cha Biashara,
Watu wengi wamefanikiwa kupitia Biashara na bado kila siku Watu wanaingia katika biashara.