Habari za Leo ndg ,jamaa,rafiki na wengne wote tulio na lengo la kuweza kujikwamua kiuchumi kutokea katika nyanja tulizopo na kwenda katika nyanja za hali ya juu.
Siku ya Leo tunaanza na Tabia moja kabla ya nyingne
1.Tabia ya utoaji
Hii ni mojawapo ya sababu ya muhimu ya kuweza kukukwamua Toka nyanja ulizopo na kwenda zngne kwa kuweza kitaa kwa moyo wako katika kuweza kusaidia jamii ikuzungukayo kama vile
Yatima :hili ni mojawapo ya kundi ambalo linahitaji msaada wa hali nzuri kwa ajili ya kuweza kuwajali na kuwatunza kutokana na mazingira waliyopo.
Wasiojiweza(wazee ):hili ni miongon mwa kundi lililopo katika jamii yetu na kila siku linahitaji msaada mkubwa katika kuweza kuwasaidia katika hali tofauti tofauti kama kupata chakula,mavaz.na vingne ving vilivyo muhimu kwa kila binadamu katika maisha.
Vilema :hili pia ni kund ambalo linatuzunguka katika jamii zetu ambalo huhitaji msaada mkubwa katika nahitaji muhimu ya binadam.
Wajane ;hili pia ni mojawapo ya makundi yaliyotuzunguka katika jamii na ambayo yanahitaji msaada mkubwa katika mahitaji muhimu ya mwanadamu (chakula,Malazi,mavaz,n.k)
Kumbuka
KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI
TOA BILA KUTARAJIA CHOCHOTE
BALI MUNGU PEKEE NDIO WA KUKULIPA FADHILA ZAKO ULIZOZIFANYA.
GIVING◀▶RECEIVING
Nakutakia siku njema na Mungu akubariki
Phone no 0755778896
Email:barakaasajilemwakyoma@gmail.com
No comments:
Post a Comment