Showing posts with label HAMASIKA. Show all posts
Showing posts with label HAMASIKA. Show all posts

Wednesday, March 8, 2017

SABABU YA KUSHINDWA KUFIKIA MAFANIKIO

Habari ndg yangu ,rafiki yangu ,jamaa yangu natumai u mzma wa afya kwa uwezo wa MUNGU.
  Ninapenda tumslizie aina ya mwisho ya malengo ambayo ndiyo kilele katika mafanikio yako .

Haya ni malengo YA MUDA MREFU.
  haya ni aina ya malengo ambayo huwa ndio chachu ya mabadiliko yako kwa kila mmoja .
Ambapo ili ufikie huku ni lazma uwe mvumilivu n.a. mwenye subira ya hali ya juu kwa maana huwa ni malengo uliyoandaa baada ya muda fulani.

Haya malengo huwa ni ya muda mrefu ambapo ndiyo hukubadilisha kabisaaa kutoka level uliyo nayo n.a. kwenda nyingne.

Mfano waweza kuwa umejiwekea malengo ya kwamba baadae  ya miaka mitano ,kumi n.k
Ndio Hilo lengo lako liwe limekamilika huwa kweli lakamilika kwa sababu liko ndani ya ndoto yako.
Pia tambua ukiwa n.a. ndoto kubwa Kama hiyo ukiwa mvumilivu utafika tu kwa maana unakuwa umeamua n.a. umethubutu kuifanyia kaz hiyo uliyo nayo n.a. itakamilika n.a. kuona mabadiliko.

Mfano kwa Yule awekaye akiba kwa kununua hisa huyu mtu baada ya muda wa miaka kadhaa sio mwenye matokeo yaleyale kwa maana akiwa ameweka lengo huko atajikuta kipato chaongezeka kila baada ya kupokea gawio lake.
N.a. pia mwisho wa siku atakapokuja kuuza anaweza kuuza bei ya juu kuliko Ile ya mwanzo kwa Hiyo anakuja anaenda n.a. lengo lake.

NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA.

AINA ZA MALENGO

Habari ndg jamaa n.a. rafiki yangu katika kuendeleza aina ya male go

Leo tuko aina pili ambayo ni malengo ya KATI.

Kila niongeleapo haya huwa ni mojawapo ya malengo ambayo ni muhimu sana ambapo pasipo kuwepo haya huwez kufikia ndoto yako.

Ambapo haya ni malengo ambayo ndiyo daraja mojawapo la kukupeleka katika malengo Yale ya muda mrefu.

Kwa maana haya huwa ndio hufanya kazi ya kuzd kukuongezea hatua kila siku Kwa maana ni njia ambayo ni vema upitie kufikia kilelen.

Ambapo pia haya malengo yanategemea Yale malengo uliyoyafanya katika malengo ya muda mfupi .kama lengo la  saa ; lengo la siku ,lengo la mwezi.n.k

Hilo lengo la Kati huzd kukupa hamasa n.a. nguvu ya kuendelea mbele.

Kwa hiyo kwa Yule ambaye huwa ni mtu mwenye malengo makubwa huwa anayatumia sana haya malengo ili afikie ndoto yake.

Ninashukuru napenda kukuona ukifanikiwa

Tuesday, March 7, 2017

Wajua siri ya mafanikio yako iko hapa

Habari ndg yangu natambua kila siku huwa wahangaika sana na changamoto za hapa n.a. pale ili ulifikie lengo lako .
Nakupa hongera sana endapo huwa wafanya hvyo .
Lakn jiulize ni kipi ukifanyacho kila siku ili kije kuwa ni njia mojawapo ya ndoto yako.
Je wafanya kaz pasipo kuwa n.a. malengo ?
kwa nn usiwe n.a. malengo ?
Je wadhani unaweza K ufanikiwa pasipo kuwa n.a. lengo ?

Ndg yangu kila siku tambua ili ndoto itimie lazma ufanya kaz kwa malengo.
ambapo hayo malengo yamegawanyikaa katika sehem tatu ambazo ni
  1; Malengo ya muda mfupi
   2:malengo ya Kati
   3. Malengo ya muda mrefu

Tukianza n.a. lengo la muda mfupi
Hili ni lengo ambalo huwa lina mipango ya muda mfupi kama saa ;siku:wiki,mwezi n.k
Ambapo katika haya huwepo mahitaji Yale ya muhimu sana kama
   CHAKULA
   Nauli
   Matibabu
   Dhalula
  Umeme
Ad a
Hayo ni baadhi kulingana n.a. kila mmoja mipangilio yake .

Usikose kupitia ukurasa huu kwa ajili ya kujua aina ya pili ya malengo ambayo MAFANIKIO yako yamejificha hapo.

Sunday, March 5, 2017

USiogope maneno ya watu

Kila siku katika jamii y etu ikuzungukayo kuna mambo mengi sana yanayotuzunguka n.a. pia kuna watu weng sana tunaoish nao pamoja .

Ambapo katika hao n.a. hayo tunayoish nayo huwa kuna mambo ambayo ni chachu ya ww  ufanikiwe  au ushindwe kutokana n.a. namna gani tunayachukulia n.a. namna gani yanatuingia akilin mwetu kwa sababu kila mmoja huwa Ana namna yake ya kufikiri.

Katika hayo mambo yaendeleayo yanatakiwa kuyafikilia kiumakini ili isiwe chachu ya kuturudisha nyuma daima ili tuzd kusonga mbele kutoka hapa tulipo kuelekea pengine.

USiogope maneno ya watu Yule kusema hiki hyu kasema hili .
Hayo maneno yasikuumize akili kwa maana yipo atakaye ushindwe n.a. mwingne ataka ushinde
So Hilo ni daraja lako ww kufika mbali daima.

KAZA BUTI UTAFIKA

Ndg yangu kila siku ianzapo huwa wakutana n.a. mambo mengi sana ambayo huwa yanakusumbua sana akili mpaka pasipo kujua ufanyaje.

Usihofu sasa fanya lile lifanyikalo muda huo ili uzd kusonga mbele kwa maana hayo upitiayo ni miongini mwa mitihani yako inabidi uifanye ili ufikie kilelen.

Yasikukatishe tamaa twende tusonge mbele tutakutana n.a. mengne ambayo yatatufanya tuzd kujifunza vitu katika safari y etu
.
MAFANIKIO hayaji kilele mama lazma tupambane sana ipasavyo tutakuwa sote bega kwa bega sitaki nikuache ili tufikie mslengo .

Friday, March 3, 2017

SONGA MBELE

Kaza buti songa mbele

FANYIA KAZ NDOTO ZAKO

Daima katika maisha hakuna mtu asiye na ndoto ya kuitimiza maishani mwake
Kwa maana kila mmoja wetu Ana kusudi lake hapa chini ya jua kwa sababu hakuna aliyezaliwa kwa bahati mbaya .
Tambua hujazaliwa kwa bahati mbaya kwa sababu MUNGU alivyokuumba  alikuleta duniani ili uje utekeleze majukumu yako aliyokipatia ndani yako.

Je unatambua kwa nn uliletwa duniani kutimiza majukumu yaliyokuleta?
NI kwa sababu MUNGU anatambua uwepo wako una manufaa gani katika jamii n.a. dunia nzima kupitia ww.

Je WATAMBUA YA KWAMBA uwezo ulionao ww ni tofauti na mwingine
  Ndio kuna utofauti mkubwa sana Kati yako ww na mtu mwingne Kwa maana kila mmoja anasifa fulani ambayo ni ya kitofauti sana n.a. mwingne.

Japokuwa wote ni binadamu ambapo tupo wanaume n.a. wanawake.
  Kama hspo kila mmoja Ana sifa zake kwa jins tulivyo.
  Pia katika wanaume wote tu sawa kimaumbile lakn kila mmoja anakitu chakwake binafsi ambacho mwingine hana ambacho ndicho kilichomo ndani yake.
Ili akioneshe n.a. akitimize kwa sababu ni jukumu lake.

Asante siku njema

Amka ukiwa na mtazamo chanya.

Kila siku uamkapo n.a. uanzapo siku yako kuwa n.a. mitazamo chanya ambayo itakufanya ww kuwa n.a. mawazo chanya kila wakati.
Kwa maana kile ukifikiliacho ww katika mtazamo chanya ndio mafanikio yako yanapitia huko kwa maana umekichukulia mawazo mazuri ambayo yatakufikisha kilele cha MAFANIKIO.

Endapo ukizd kuyafikilia na kuyafanyia kaz kila siku Kwa sababu ukifikilia pasipo kulifanyia kaz ni sawa n.a. bure.

Utakuwa kama Yule ambaye hajafanya maamuz ya kufikia kilele cha mafanikio