Monday, October 31, 2016

NAMNA YA KUTAMBUA FURSA

Habari za asubuhi ndg jamaa na rafiki yangu natumaini kwa uweza wa mwenyezi MUNGU u mzma wa afya njema .
Naomba siku ya Leo tuendelee kutambua namna gan ya kuona fursa zituzungukazo katika jamii zetu .
   Tambua ya kwamba tunaposema neno fursa imesheheni vitu ving ndan yake.sasa tuangalie baadhi ya fursa zinazotuzunguka.
  1:endapo tupo katika jamii ambayo iko katika mazingira ya vijijini .
   Hapo kuna fursa nying sana ambapo kupitia maisha ya kijijini kuna baadhi ya mahitaji muhimu sana ambayo huhitajika katika maisha yetu ya kila siku.
    Sasa hapa napenda nikutajie fursa kama ifuatayo kama ni sehemu isiyo na umeme
1;uuzaji wa mafuta ya taa
2;uuzaji wa taa za mafuta ya taa
3;uuzaji wa taa za sola
4:uuzaji wa majiko ya mafuta (ya mchina)
5;uuzaji wa tambi za taa na majiko n.k

Pia kuna fursa nying sana ambayo unaweza kuziona hizo ni baadhi tu.

Kumbuka tatizo linaloikumba jamii kwa kiasi kikubwa hiyo ni fursa na pia hiyo ni changamoto kubwa sana ambapo huwa inahitajika Mara kwa Mara katika jamii kama mahitaji muhimu katika jamii.

Kwa Mara nyingne ukiweza kutatua hilo tatizo utasababiasha kuanza kupendwa sana na jamii na kuwa t ayari ni msaada kwao kwa mana umeweza kuwasogezea huduma za muhimu karibu Yao.
 
   Kwa Leo tuishie hapa lakn muda ujao tunaendelea tena kutambua fursa ambazo bado tuko nazo katika jamii.
    Kwa mabadiliko ya fikra na maendeleo daima tuendelee kupitia ukurasa wetu kwa ajili ya kutambua mambo mbalimbali na pia ukijaribu kuongeza na vingne uvionavyo katika jamii yako.

Asante sana nakutakia siku njema .
By Mr B mwampulule.

Mafanikio

MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI.  

✍🏽Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.

👉🏾Katika miji na maeneo yote; wenye majengo ya maana, wenye makampuni makubwa, wenye utitiri wa malori na mabasi, wenye maduka makubwa ni wale wa "darasa la saba” au wale ambao hawakuingia darasani kabisa

🙇🏽📚 Wasomi wengi wana maisha ya kawaida yaani yale ya kiwango cha kubadilisha mboga, wakijitahidi sana wanaishia kujenga nyumba za kuishi 🏡 na 🚗 🚙magari mawili ya kutembelea (tena kwa mikopo!)

👉🏾Wapo 🙇🏽📚wasomi wengi tu wanaoishi kimasikini, kwa lugha ya kistaarabu tunasema wana maisha ya kuungaunga. Kiukweli idadi ya wasomi walio matajiri ni ndogo sana

👉🏾Lakini Umasikini wa wasomi wengi umeanzia huko shuleni na vyuoni wanakopatia usomi wao. Madarasani kuna mambo mawili wanafundishwa wasomi ambayo ndio yanayowaroga

Hii inachangiwa na mambo mawili:-
👇🏽
I. Wameelimishwa na kuaminishwa kwamba yule anaepata maswali yote kwa usahihi ndio anaonekana amefaulu. Ukikosea unahesabika kuwa u mjinga na wenyewe wanaita umefeli

👉🏾Hata hivyo katika maisha ya kawaida hasa kwenye mchakato wa kutafuta hela, kujaribu na kukosea ni sehemu ya mafanikio

👉🏾Kadiri unavyojaribu na kukosea mara nyingi ndivyo unavyojifunza na ndivyo nafasi ya kutajirika kwako inakuwa kubwa!

🙇🏽📚Wasomi wengi kwa sababu ya "mentality" ya kuogopa kukosea huwa hawapendi kujaribu biashara kwa hofu ya kushindwa kuiendesha, na huamua kufa kimasikini wakitegemea mishahara pekee kwa sababu mishahara ndio pato lao la uhakika
👇 🏾
II. Madarasani kunahimizwa ubinafsi badala ya umoja. Angalia namna mitihani inavyofanyika. Kila mwanafunzi anafanya mtihani peke yake, na ukikutwa unaangalizia ama mnasaidiana na mwenzio ndani ya chumba cha mtihani mtapata adhabu kali ikiwemo kufutiwa mtihani!

👉🏾Katika maisha ya kawaida hasa ya kusaka fedha, unahitajika ushirikiano mkubwa sana, baina yako na wadau, wateja, wafanyakazi wenzio, marafiki n.k. Kwa kifupi unatakiwa kuwa na Networking ya kutosha.

✋🏾Huwezi kufika mbali kiuchumi kama utakuwa na "mentality" ya ubinafsi unaosisitizwa madarasani!

��Simaanishi kusoma hakuna maana, isipokuwa ninakwambia: Kama ukipata nafasi ya kusoma, soma kwa bidii; lakini usibebe kila wanachokulisha madarasani; ukakileta huku mtaani

🛣Mtaani panahitaji akili ambayo ni tofauti na hiyo iliyopimwa kupitia kukariri ya vitabuni, mwishoni wanakuzawadia makaratasi yaitwayo vyeti.

😎Ukitaka kufanikiwa ungana  na   waliofanikiwa wakuelekeze 

😀🙏🏽 Hii habari haitaki hasira,  vumilia tu na jiongeze.

Fursa

              FURSA ZITUZUNGUKAZO KATIKA JAMII
   Daima katika jamii tuishio huwa kuna fursa nying za aina mbalimbali ambazo huwa zatuzunguka lakn kila siku huwa twaziona kama ni za kawaida sana machoni petu .
  tambua ya kwamba fursa uionayo ww ya kawaida ndio fursa ambayo mwenzio huifanyia kaz na kupata mafanikio kupitia hiyo fursa aliyoiona .
  je ni namna gan ya kuweza kutambua fursa zilizopo katika jamii husika ?
         ni kama ifuatavyo endapo katiak jamii uliyopo kumbuka kuna mambo muhimu ambayo huwa yanatumika mara kwa mara kwa mfano
katika jamii y
tunahitaji mambo yafuatayo endapo kama ni sehemu ambayo hakuna umeme kuna kuwa na uhitaji wa
  1. 1.mafuta ya taa                              2.taa za chemli pamoja na karabai au korobo                                  3.uwe  majiko ya mchina      4.uwepo wa tambi za koroboi pamoja na tambi za taa za emlipo wa tambi za 
  •   sas  a endapo kama umefika na kukutana na changamoto kama hizo tambua ya kwamba hiyo ni mojawapo ya fursa ambayo unahitaji kuitatua ili kuisaidia jmii katika mambo kama hayo kwa  kuwaletea huiduma karibu kwa msaada zaid na kufurahia uwepo waqko daima ambapo kila siku watapenda uwepo wako kila siku. 
  • utakapoweza kutatua tatizo moja lililopo katika jamii ambalo lipo katika jamii yako ndipo utatambua fursa zingne nying ambapo kupitia hilo tatizo kwako ww ndio fursa    

Sunday, October 30, 2016

Hatua za mafanikio

Habari ndg jamaa na rafiki yangu karibu tena kwa Mara nyingne katika kuzd kupanua bongo zetu ili zisizd kulala Bali tuzd kuzifanyisha kaz ya kuzifikirisha ili tuchukue maamuz sahihi.
    Hatua za mafanikio
Unajua kila kitu huwa kina kwenda kwa hatua ambazo huwa zinamfanya mtu aonekane kapiga hatua ya kutokea sehemu moja na kwenda nyingne. Lakn katika hizo   hatua zipo za kwenda mbele na za kurud nyuma. namaanisha  hv.

1.hatua za kwenda mbele
Hizi ni hatua ambazo mtu hupiga au hutembea kwa kwenda mbele au kwa kuanza au kuendelea na safari .ambapo hapo ndipo nahali penye mafanikio kwa maana mafanikio huanzia kama hatua japo kuna changamoto zake nying lakn huo ndio mwanzo wa mafanikio.

2:hatua za kurud nyuma
Hizi nazo ni hatua ambazo mtu hupiga kwa kwenda nyuma au kurud reverse. Ambapo kwa muda mwingne ukiona mtu wa namna hiyo huwa wanasema ameanza kupoteza muelekeowake.au balance. 
   Mfano mlevi akiwa amelewa sana huwa Ana Tabia ya kwenda ya kwenda mbele hatua tatu na hurud nyuma hatua nne  huo ndio huwa ni mojawapo ya mwendo wa kurud nyuma.

Sasa ndg yangu kumbuka katika hii njia yetu ya mafanikio tuko weng tuendao huko lakn kuna changamoto nying ,vikwazo ving na baadhi ya mambo mengne meng sana ambayo huweza  kuturudisha nyuma na pia kutupeleka mbele.

Naomba sasa usiweze kuogopa tena katika kupiga hatua zako as mafanikio daima piga hatua za kwenda mbele ili zizid kukupatia mafanikio .usiogope kuwepo kwa vikwazo ,vitusho na changamoto nying zilizopo nakusihi KAZA BUTI SAFARI BADO NI NDEFU SANA ILI TUFIKIE MALENGO YETU .

Mfano halisi katika hiyo picha unaona aliye upande wa kulia anapiga hatua za kwenda mbele anapanda ngazna aliyeko kushoto kaanguka kwa maana alikuwa akirud kwa kupiga hatua za kurud nyuma ambacho ni kitu kitakachokuletea kuanguka tu.

   endelea kusoma na makala zingne zilizopo ili uzd kuongeza ujuz katika nyanja yetu ya mafanikio .
    By Mr B mwampulule

Hatua za mafanikio

Habari ndg jamaa na rafiki yangu karibu tena kwa Mara nyingne katika kuzd kupanua bongo zetu ili zisizd kulala Bali tuzd kuzifanyisha kaz ya kuzifikirisha ili tuchukue maamuz sahihi.
    Hatua za mafanikio
Unajua kila kitu huwa kina kwenda kwa hatua ambazo huwa zinamfanya mtu aonekane kapiga hatua ya kutokea sehemu moja na kwenda nyingne. Lakn katika hizo   hatua zipo za kwenda mbele na za kurud nyuma. namaanisha  hv.

1.hatua za kwenda mbele
Hizi ni hatua ambazo mtu hupiga au hutembea kwa kwenda mbele au kwa kuanza au kuendelea na safari .ambapo hapo ndipo nahali penye mafanikio kwa maana mafanikio huanzia kama hatua japo kuna changamoto zake nying lakn huo ndio mwanzo wa mafanikio.

2:hatua za kurud nyuma
Hizi nazo ni hatua ambazo mtu hupiga kwa kwenda nyuma au kurud reverse. Ambapo kwa muda mwingne ukiona mtu wa namna hiyo huwa wanasema ameanza kupoteza muelekeowake.au balance. 
   Mfano mlevi akiwa amelewa sana huwa Ana Tabia ya kwenda ya kwenda mbele hatua tatu na hurud nyuma hatua nne  huo ndio huwa ni mojawapo ya mwendo wa kurud nyuma.

Sasa ndg yangu kumbuka katika hii njia yetu ya mafanikio tuko weng tuendao huko lakn kuna changamoto nying ,vikwazo ving na baadhi ya mambo mengne meng sana ambayo huweza  kuturudisha nyuma na pia kutupeleka mbele.

Naomba sasa usiweze kuogopa tena katika kupiga hatua zako as mafanikio daima piga hatua za kwenda mbele ili zizid kukupatia mafanikio .usiogope kuwepo kwa vikwazo ,vitusho na changamoto nying zilizopo nakusihi KAZA BUTI SAFARI BADO NI NDEFU SANA ILI TUFIKIE MALENGO YETU .

Mfano halisi katika hiyo picha unaona aliye upande wa kulia anapiga hatua za kwenda mbele anapanda ngazna aliyeko kushoto kaanguka kwa maana alikuwa akirud kwa kupiga hatua za kurud nyuma ambacho ni kitu kitakachokuletea kuanguka tu.

   endelea kusoma na makala zingne zilizopo ili uzd kuongeza ujuz katika nyanja yetu ya mafanikio .
    By Mr B mwampulule

ONDOA UOGA KATIKA KUFANYA JAMBO

Habari za Leo ndg jamaa na rafiki .K aribu tena kwa muda mwingne katika kuzd kujifunza na kujihamasisha katika nyanja ya mafanikio.
  Unajua kila siku unapoamka huwa una kuwa na kusudi jipya ambalo umeweka K ichwani mwako ili litimie kwa muda wa M ajukumu yako kwa siku husika.
   Pia kumbuka kuwepo kwa jukumu hilo na kulikamilisha jukumu hilo ndio chanzo cha kuweza kufanya jukumu lingne kutokana na majukum yako ulivyoyapangilia.
  Kumbuka hakuna jukumu ambalo hsliwez kutekelezeka  Bali endapo kama usipoamini ya kwamba unaweza kulitekeleza ndipo huwezi kulitekeleza .lakn ukiamini na kujipa moyo na kuzd kumuomba MUNGU kila jukumu linawezekana.
Napenda kukuambia ya kwamba daima toa dhana uliyojiwekea K ichwani mwako ya kwamba huwezi .iond oe kabisa katika ufahamu wako kwa maana isije kukurudisha nyuma kimaendeleo.
    Endelea kupambana na changamoto na vikwazo vyote vikuzungukavyo kwa maana hizo ni baadhi ya njia zitakazo kuletea mafanikio.
  Asante sana
Nakusihi endelea kutembelea Mara kwa Mara ili kuweza kutambua kitu na kujifunza kitu kila siku.
   By Mr B mwampulule

Mafanikio

KunaTofauti kubwa kati ya Kufanikiwa na kuwa Na Mali nyingi
Unaweza ukawa una Mali nyingi lakini ukawa ujafanikiwa,kwa Tafsri nyepesi kuwa na Mali nyingisio Mafanikio
Lakini pia Mafanikio uambatana na Mali
Ukifanikiwa lazima pia utakuwa na Mali nyingi
Mafanikio uja na Mal

Kufanikiwa ni Zaidi ya kuwa na Fedha nyingi
Usitafute Mali Tafuta Mafanikio
Ukipata Mafanikio utapata na Mali nyingi

Wednesday, October 26, 2016

Namna gani ya kuweza kutimiza malengo yako

Habari za siku ya Leo ndg jamaa na rafiki zangu wote karibun tena kwa  Mara nyingne katika safu yetu ya kuweza kubadilishana mawazo  n mitazamo ya namna gan tuweze kujikwamua katika changamoto ya maisha ya umaskini miongon mwetu.
  Unajua kila siku katika maisha yetu huwa kuna changamoto nying na vikwazo ving vitusumbuavyo kila siku.
Sasa tambua hivyo vikwazo unaweza kuvitatua endapo kama ww mwenyewe utajiweka t ayari katika kuweza kuvitatua kwa umakini.
    Ili uweze kufanikiwa na kutatua tatizo fulani ni lazma ujiweke tayar katika kufanyia kazi hayo maamuz yako ya kulitatua ipasavyo.
    Na pia tambua ya kwamba ili uweze kufanikiwa usiogope maneno ya watu ww fanya kile ambacho unaona hiki kina manufaa kwa w akati ujao.
Kumbuka ya kwamba MAFANIKIO NI WATU LAKN SI KILA MTU ANAPENDA MAFANIKIO YAKO.
kwa maana unaweza kukutana na watu watakao kupa moyo katika maamuz yako na pia wapo watakao kukuatisha Tamaa katika maamuz yako .
Naomba kwa Leo niishie hapo na tutazd kujifunza meng na meng zaid katika hii blog yetu .
      Nakusihi uzd kuitembelea ili uzd kujifunza na kuweza kufikiria na kwa uwezo wako uwe namna gan ili uweze kufanikiwa .
  NAPENDA KUKUONA UKIWA UMEFANIKIWA.
BY MR B MWAMPULULE.

Sunday, October 23, 2016

Kazi zilizo na nafasi nzuri katika soko la ajira

Habari ya Leo ndg yangu tumshukuru mungu kwa kila jambo alilotuyendea kwa maana ni kwa neema na rehema yake tu ndio maana tupo hai mpaka sasa hv tusomapo ujumbe huu.Leo napenda tuzungumzie kuhusiana na suala la Ajira kwetu sisi vijana pamoja na jamii ituzungukayo.
  Ajira ina maana ya kwamba ni kazi yoyote ambayo inampatia mtu kipato cha kuweza kupata mahitaji yake yaliyo ya muhimu .lakini hiyo ni maana yote kwa ujumla Kati ya waliopo ofsini na waliojiajiri.
Lakn Leo tuzungumzie ajira kwa vijana ambao hawajaajiliwa katika ofs Bali ni katika mbinu za kujiajiri.ili kuweza kujikwamua kutoka nafasi kwenda nyingne kimaendeleo.
    Ajira za kujiajiri ambazo zinaweza kukinua katika maisha ni kama zifuatazo
Ufund. Hii ni kazi ambayo mtu hujiajiri katika kujikwamua kimaisha katika fan
Hii ambayo imegawanyika katika vifungu mbalimbali kama zifuatazo
     1;umeme
2;ujenz
3:pikipiki
4;magari
5:cherehani
  Unajua kiukweli kuna ufund wa aina nying ambao unaweza kimaisha lakn hufatana na mtu mwenyewe kujipangia ratiba ya kuwa ni kwa namna gfan ukamilishe malengo yako.
Ufugaji katika hii nyanja nayo huwa unatoka kimaisha kutokana na namna gan unaweza kuwa na lengo la kulitimiza.

Wednesday, October 5, 2016

MALENGO NA MAONO YETU .

*BINADAMU ASIYEKUWA NA
MAONO HUPOTEA*

*_Relax and trust the timing of your life, you will figure out your career, you will find the right relationship, you will become The person you always wanted to be, Just don't forget to appreciate who you are now_*

Maono ni nini, ili kufahamu vizuri dhana nzima ya maono ni kujiuliza swali moja *UNATAKA UKUMBUKWE KWA JAMBO GANI* kimsingi unataka kuleta tofauti gani katika hii dunia.

Nini unakiona kwenye maisha yako miaka michache ijayo, unapanga kufanya nini kwa muda mrefu wa maisha yako.

Akili yako imebeba picha ya aina gani? Picha hiyo ndiyo inayotengeneza maisha yako, inatengeneza kuamua kwako, kuongea kwako, mavazi yako, kazi unayoifanya, marafiki uliyo nao. Nk
👆👆👆👆👆
Vyote hivi vinajengwa na taswira uliyo Nayo wewe mwenyewe juu ya maisha yako katika akili yako.

Sasa kumbe maono yanatupa faida zifuatazo.

Thought 1
*uwezo wako wa kuamua na kutendea kazi mawazo yako vinategemea kiwango chako cha kuamini juu ya taswira uliyo nayo kuhusu maisha yako*

Thought 2.
*kiwango chako cha maisha kinapimwa na kiwango cha maono yako, ukiwa na maono madogo jua na maisha yako yatakuwa ya kawaida*

Thought 3
*Maono yanaondoa uvivu na kukata tamaa kwasababu mtu anaejua anakokwenda ni vigumu sanaa kumzuia*

Thought 4
*maono yanatabia ya kumjengea muhusika Hamu ya kutafuta taarifa hasa kuhusu ono lake, lakini pia kumpaa maarifa ya namna ya kuwekeza kwenye maono yake*

Ukisha tambua unataka kufika wapi katika maisha yako, hakikisha hakuna mtu yoyote anaekukatisha tamaa.
👆👆👆👆👆👆
Kuanzia Leo anza kuamini kwamba maono yako yanaweza kutimia, anza kuamini mawazo yako na Mapito yako kwamba ndivyo vitakavyo kufikisha mahali unapo pataka.

Nb
*_The key to a positive life is to focus on the solution not the problems_*

*_one day all the people that did not believe in you, Will tell every one how they meet you_*

Napenda kukuona ndg yangu tukiwa tumefanikiwa na kufikia malengo yetu kila siku kwa kulifanya kwa kiasi chake
.  
MUNGU YU PAMOJA NASI DAIMA KATIKA KILA LILILO  MBELE YETU.
  BY MR B.MWAMPULULE