Sunday, September 11, 2016

MBINU ZA KUONGEZA WATEJA KATIKA BIASHARA YAKO

Tukiwa katika harakati za Biashara Wateja ni Dhahabu kwetu.Imekuwa ni kawaida watu k=usema Mteja ni Mfalme.Ni kweli Mteja ni Mfalme na ili uweze kufanikiwa katika  katika Biashara yako .
               Yafuatayo ni mambo ya muhimu katika kuongeza wateja katika biashara yako
    1.Mapokezi mazuri
Daima huwa twasema  siku njema huonekana asubuhi ambapo ndio muda ambao huanza ukiwa na nguvu na akili iliyo katika hali nzuri .sasa endapo umefika ofsini kwako na kukutana na mteja umpokee katika hali nzuri na mapokez mazuri ili aweze kuona hapa ndipo panapofaa kutokana na mapokez yanayofurahisha na kuridhisha.
  Mfano katika ofs za mgahawa ukimpokea kwa shamlashamla na kumwambia Karibu san mteja karibu kiti na ndipo baada ya hapo unaanza kumuuliza na kumsikiliza au unampa menyu yako ya vyakula ulivyo navyo na ndipo atakupa jibu atakacho.
  2.Ukarimu
Kila siku ukarimu huwa ni njia mojawapo ya kumteka na kumfurahisha mteja wako ili hata w akati mwingine ajihisi yupo Mahal panapomfaa na kuwa hajakosea kufika katika ofs hiyo.
3.Bidhaa yenye ubora
Katika kupata mteja aliye mzuri na aliye wa kudumu umuuzie bidhaa iliyo bora na iliyo katika kiwango cha kuridhidha ili atakapo weza kununua hapo hata siku nyingne atakuletea mteja mwingine.
 

No comments:

Post a Comment