Friday, February 10, 2017

Chakula cha kuzipatia akili zetu

Habari ndg yangu natumai u mzma wa afya .
Naomba tuendelee n.a. nakala y etu ya Leo isemayo  CHAKULA CHA KULISHA BONGO ZETU.

Katika nakala iliyopita nilielezea kuhusu kutambua kuwa utajiri wako ni akili yako .

Sasa ili uzd kukua kiakili n.a. pia uzd kunia BONGO  yako pamoja na vingine vingi.

Unajua akili inafanya kazi kubwa sana kila siku Kwa maana huyo MAAMUZ ambayo ndiyo matokeo yako daima kwa maana ukiamua vema utapokea majibu mema n.a. pia ukiamua vibaya utapata majibu mabaya

Sasa ili uzd kunufaisha n.a. kukua akili yako katika kila njia iliyopo pendelea sana kuipatia  MAARIFA.

hiki ndicho CHAKULA kikuu cha kuipatia akili yako kwa maana ukiwa n.a. maarifa ambapo utakutana n.a. meng sana hapo.

NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA

Pia nakala ijayo tutazd kufafanua z aidi kwa nn uipe maarifa akili yako.


No comments:

Post a Comment