Sunday, February 12, 2017

Kwa nn uipe maarifa akili yako

Habari ndg jamaa n.a. rafiki yangu katika kuzd kutambua baadhi ya mambo n.a. kuzd kushauriana katika nyanja mbalimbali.

  Kila siku tambua kupata MAARIFA ndio chanzo cha mambo meng yaliyopo katika jamii kama
   Kuzd kutambua n.a. kuchanganua mambo mengi yatuzungukayo.
Pia maarifa huwa ndio chachu kuu katika kukuimarisha ww katika nyanja nyingi sana .

Ambapo mtu ukiwa n.a. maarifa anaweza kujifunza kitu n.a. kuchanganua kitu fulani fulani katika kila Jambo.

Daima maarifa ndio chanzo cha mafanikio yako .

Kwa maana hata katika maandiko yanasema  kumcha MUNGU ni chanzo cha maarifa.

Ambapo hata vitabu v ya dini vimeandikwa. Tambua kuwa hicho kitu ni cha thamani sana katika maisha yako .

Ndg yangu kila siku tuzd kutafuta maarifa ambayo yatatusaidia kufikia lengo fulani .ulilonalo lakn pamoja n.a. hivyo lazma uwe na 
Ufahamu pamoja  na hekima.

Ili ufanikiwe lazma utambue hvyo vitu vitatu ambavyo ni
Ufahamu
MAARIFA
Hekima
  
Nakala ijayo tutaangalia kuhusu maana ya Ufahamu, maarifa n.a. hekima.

Usichoke kuifatilia ili uweze kutambua baadhi ya mambo.

Pia unaruhusiwa kucoment na kushirikiana mm katika kuzd kutambua Mahal ambapo tunabadilishana mawazo.

Tuma maoni yako kwenye email
barakaasajilemwakyoma@gmail. Com

No comments:

Post a Comment