Habari ndg yangu natumai u mzma wa afya karibu tena kwa Mara nyingne katika kuzd kujulishana baadhi ya mambo yatuzungukayo n.a. kujua namna ya kuyatatua.
Ndg yangu napenda kukuambia ya kwamba akili yako ndio utajiri wako kwa maana kila siku akili zetu huwa zafanya kaz kwa kias cha muhusika ambacho muhusika hutumia.
Je ww hutumiaje akili yako n.a. ubongo wako ili uje ukukomboe katika hali ya umaskini ?
Je pia ili utoke katika hiyo hali WATAMBUA ya kwamba watakiwa kutumia vp akili yako?
Je umejiandaaje katika kuweza kujua akili yako ni utajiri wako uliopewa n.a. mwenyezi MUNGU.
Katika kuweza kutambua namna ya kutok katika umaskini kwa namna mbalimbali inabidi kuibidisha sana akili yako ili izd kujinoa n.a. kuzd kunawiri kwa kupat maarifa yaliyo meng zaid.
Katika hali ya kawaida waweza kuambiwa ili ufanye mabadiko lazma UKUBALI akili yako kubadilika .
Je huwa wajua ni kwa nn lazma ibwdilike ?
Ni kwa sababu mabadiliko yoyote yanahitaji MAAMUZ yaliyo sahihi ambayo yatamsaidia kila mmoja kutoka hapo alipo n.a. kwenda pengne.
UKITAKA kutambua meng zaid usikose kupitia tovuti y etu katika toleo lijalo muda si mrefu kwa maana kwa sasa tunahitaji tuwe n.a. Tanzania iliyo badilika sana kiuchumi n.a. kimaendeleo kwa ujumla.
Napenda kukuona ukifanikiwa .
.
No comments:
Post a Comment