Wednesday, February 8, 2017

Namna ya kuifanya akili y etu iwe utajiri

Habari ndg yangu natumai u mzma .
Naomba tuendelee n.a. nakala yetu ambayo inasema namna ya kufanya akili zetu n.a. bongo zetu kuwa utajiri.

Kila siku tambua akili zetu huwa zafanya kazi kadri upendavyo kila mmoja kwa maana akili yako ukizd kuilisha mambo yasiyo ya msing itazd kukupatia mambo yasiyo n.a. mantiki katika jamii yako kwa maana huwa inapata chakula kisicho sahihi.

Mfano katika familia ya baba mama n.a. watoto .je pale ambapo mtoto akiomba chakula huwa anapewa chakula gani? 
Mzazi hawezi kukubsli ampe mtoto chakula kisicho bora mwanae kwa maana anajua hakitaweza kumjenga mwanae. Kwa hiyo hapo ulipo ww ni mzazi wa akili yako ambapo inabidi uipe chakula kilicho bora ili izd kunawiri kila siku kwa maana ili uzd kunawiri kwa ajili ya maarifa .

Je unadhan kwa nn mzazi anakuwa yuko tayari kupambana kwa ajili ya mwanae kwa Jambo lolote limsibulo?

Ni kwa sababu anapenda kumwandalia mazingira mazuri mwanae ili azd kukua katika hali iliyo njema japo yy atakuwa katika wakati mgumu lakn mtoto huwa hajali Bali anaangalia mzazi wangu atanipa nn ?

   Kila siku pendelea kuipa akili yako kitu ambacho ni muhimu n.a. Cheney mantiki katka maisha yajayo siyo ya sasa kwa maana ya maisha ya kesho kwa maana ya Leo tayari umeshayaandaa tangu jana .
Sasa tengeneza maisha yako ya kesho ya we katika njia sahihi ambayo sio ya kujutaa .
YA KWAMBA kwa nn sikufanya hivyo kipind kile

Pinga sana kauli ya ningekuwa nimefanya vile au hv

Kwa maana ni sentensi shurutia inayokushurisha m wenyewe.
 
Asante endelea kupitia kila siku ukursa huu ili uweze kuzd kutambua n.a. kuelekezana baadhi ya mambo.

Nakala ijayo itadili n.a. chakula gan cha kuilisha akili yako kwa maisha ya kesho?

No comments:

Post a Comment