Friday, November 18, 2016

Andaa vema BUSTANI yako ili ikupe MAFANIKIO

Habari ndg yangu napenda tuendelee katika kuweza kujulishana na kushauriana.

Unajua kila siku tambua ya kwamba hakuna mtu ambaye atakuwa anakusubiri ww ufanikiwe na ndipo ww uige toka kwako.

Hali za namna hiyo ndg zilikwishapitwa n.a. wakati kwa maana ya kwamba ili ufanikiwe lazma upambane ipasavyo .

Lakn pia katik kupambana na hizo harakati wahitajika kutambua ya kwamba uvumilivu huhitajika kwa kiasi kikubwa sana kwa maana hakuna jambo lisilo na chaangamoto .

Na kumbuka kupitia hizo changamoto ndio njia mojawapo ya kuweza kukutoa kimaisha.

Endapo ukiwa mvumilivu n.a. kuwa ni mtu usiye kata Tamaa.

Daima kupambana huwa kuna leta imani ya kufikia Lengo kulingana n.a. kwamba ni kwa namna gani utakuwa umetiĺia maanani katika Lengo lako.

Diana NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA

By mr B MWAMPULULE

No comments:

Post a Comment