Sunday, October 30, 2016

ONDOA UOGA KATIKA KUFANYA JAMBO

Habari za Leo ndg jamaa na rafiki .K aribu tena kwa muda mwingne katika kuzd kujifunza na kujihamasisha katika nyanja ya mafanikio.
  Unajua kila siku unapoamka huwa una kuwa na kusudi jipya ambalo umeweka K ichwani mwako ili litimie kwa muda wa M ajukumu yako kwa siku husika.
   Pia kumbuka kuwepo kwa jukumu hilo na kulikamilisha jukumu hilo ndio chanzo cha kuweza kufanya jukumu lingne kutokana na majukum yako ulivyoyapangilia.
  Kumbuka hakuna jukumu ambalo hsliwez kutekelezeka  Bali endapo kama usipoamini ya kwamba unaweza kulitekeleza ndipo huwezi kulitekeleza .lakn ukiamini na kujipa moyo na kuzd kumuomba MUNGU kila jukumu linawezekana.
Napenda kukuambia ya kwamba daima toa dhana uliyojiwekea K ichwani mwako ya kwamba huwezi .iond oe kabisa katika ufahamu wako kwa maana isije kukurudisha nyuma kimaendeleo.
    Endelea kupambana na changamoto na vikwazo vyote vikuzungukavyo kwa maana hizo ni baadhi ya njia zitakazo kuletea mafanikio.
  Asante sana
Nakusihi endelea kutembelea Mara kwa Mara ili kuweza kutambua kitu na kujifunza kitu kila siku.
   By Mr B mwampulule

No comments:

Post a Comment