Daima katika jamii tuishio huwa kuna fursa nying za aina mbalimbali ambazo huwa zatuzunguka lakn kila siku huwa twaziona kama ni za kawaida sana machoni petu .
tambua ya kwamba fursa uionayo ww ya kawaida ndio fursa ambayo mwenzio huifanyia kaz na kupata mafanikio kupitia hiyo fursa aliyoiona .
je ni namna gan ya kuweza kutambua fursa zilizopo katika jamii husika ?
ni kama ifuatavyo endapo katiak jamii uliyopo kumbuka kuna mambo muhimu ambayo huwa yanatumika mara kwa mara kwa mfano
katika jamii y
tunahitaji mambo yafuatayo endapo kama ni sehemu ambayo hakuna umeme kuna kuwa na uhitaji wa
- 1.mafuta ya taa 2.taa za chemli pamoja na karabai au korobo 3.uwe majiko ya mchina 4.uwepo wa tambi za koroboi pamoja na tambi za taa za emlipo wa tambi za
- sas a endapo kama umefika na kukutana na changamoto kama hizo tambua ya kwamba hiyo ni mojawapo ya fursa ambayo unahitaji kuitatua ili kuisaidia jmii katika mambo kama hayo kwa kuwaletea huiduma karibu kwa msaada zaid na kufurahia uwepo waqko daima ambapo kila siku watapenda uwepo wako kila siku.
- utakapoweza kutatua tatizo moja lililopo katika jamii ambalo lipo katika jamii yako ndipo utatambua fursa zingne nying ambapo kupitia hilo tatizo kwako ww ndio fursa
No comments:
Post a Comment