Sunday, October 23, 2016

Kazi zilizo na nafasi nzuri katika soko la ajira

Habari ya Leo ndg yangu tumshukuru mungu kwa kila jambo alilotuyendea kwa maana ni kwa neema na rehema yake tu ndio maana tupo hai mpaka sasa hv tusomapo ujumbe huu.Leo napenda tuzungumzie kuhusiana na suala la Ajira kwetu sisi vijana pamoja na jamii ituzungukayo.
  Ajira ina maana ya kwamba ni kazi yoyote ambayo inampatia mtu kipato cha kuweza kupata mahitaji yake yaliyo ya muhimu .lakini hiyo ni maana yote kwa ujumla Kati ya waliopo ofsini na waliojiajiri.
Lakn Leo tuzungumzie ajira kwa vijana ambao hawajaajiliwa katika ofs Bali ni katika mbinu za kujiajiri.ili kuweza kujikwamua kutoka nafasi kwenda nyingne kimaendeleo.
    Ajira za kujiajiri ambazo zinaweza kukinua katika maisha ni kama zifuatazo
Ufund. Hii ni kazi ambayo mtu hujiajiri katika kujikwamua kimaisha katika fan
Hii ambayo imegawanyika katika vifungu mbalimbali kama zifuatazo
     1;umeme
2;ujenz
3:pikipiki
4;magari
5:cherehani
  Unajua kiukweli kuna ufund wa aina nying ambao unaweza kimaisha lakn hufatana na mtu mwenyewe kujipangia ratiba ya kuwa ni kwa namna gfan ukamilishe malengo yako.
Ufugaji katika hii nyanja nayo huwa unatoka kimaisha kutokana na namna gan unaweza kuwa na lengo la kulitimiza.

No comments:

Post a Comment