Wednesday, October 26, 2016

Namna gani ya kuweza kutimiza malengo yako

Habari za siku ya Leo ndg jamaa na rafiki zangu wote karibun tena kwa  Mara nyingne katika safu yetu ya kuweza kubadilishana mawazo  n mitazamo ya namna gan tuweze kujikwamua katika changamoto ya maisha ya umaskini miongon mwetu.
  Unajua kila siku katika maisha yetu huwa kuna changamoto nying na vikwazo ving vitusumbuavyo kila siku.
Sasa tambua hivyo vikwazo unaweza kuvitatua endapo kama ww mwenyewe utajiweka t ayari katika kuweza kuvitatua kwa umakini.
    Ili uweze kufanikiwa na kutatua tatizo fulani ni lazma ujiweke tayar katika kufanyia kazi hayo maamuz yako ya kulitatua ipasavyo.
    Na pia tambua ya kwamba ili uweze kufanikiwa usiogope maneno ya watu ww fanya kile ambacho unaona hiki kina manufaa kwa w akati ujao.
Kumbuka ya kwamba MAFANIKIO NI WATU LAKN SI KILA MTU ANAPENDA MAFANIKIO YAKO.
kwa maana unaweza kukutana na watu watakao kupa moyo katika maamuz yako na pia wapo watakao kukuatisha Tamaa katika maamuz yako .
Naomba kwa Leo niishie hapo na tutazd kujifunza meng na meng zaid katika hii blog yetu .
      Nakusihi uzd kuitembelea ili uzd kujifunza na kuweza kufikiria na kwa uwezo wako uwe namna gan ili uweze kufanikiwa .
  NAPENDA KUKUONA UKIWA UMEFANIKIWA.
BY MR B MWAMPULULE.

No comments:

Post a Comment