Habari ndg jamaa na rafiki yangu karibu tena kwa Mara nyingne katika kuzd kupanua bongo zetu ili zisizd kulala Bali tuzd kuzifanyisha kaz ya kuzifikirisha ili tuchukue maamuz sahihi.
Hatua za mafanikio
Unajua kila kitu huwa kina kwenda kwa hatua ambazo huwa zinamfanya mtu aonekane kapiga hatua ya kutokea sehemu moja na kwenda nyingne. Lakn katika hizo hatua zipo za kwenda mbele na za kurud nyuma. namaanisha hv.
1.hatua za kwenda mbele
Hizi ni hatua ambazo mtu hupiga au hutembea kwa kwenda mbele au kwa kuanza au kuendelea na safari .ambapo hapo ndipo nahali penye mafanikio kwa maana mafanikio huanzia kama hatua japo kuna changamoto zake nying lakn huo ndio mwanzo wa mafanikio.
2:hatua za kurud nyuma
Hizi nazo ni hatua ambazo mtu hupiga kwa kwenda nyuma au kurud reverse. Ambapo kwa muda mwingne ukiona mtu wa namna hiyo huwa wanasema ameanza kupoteza muelekeowake.au balance.
Mfano mlevi akiwa amelewa sana huwa Ana Tabia ya kwenda ya kwenda mbele hatua tatu na hurud nyuma hatua nne huo ndio huwa ni mojawapo ya mwendo wa kurud nyuma.
Sasa ndg yangu kumbuka katika hii njia yetu ya mafanikio tuko weng tuendao huko lakn kuna changamoto nying ,vikwazo ving na baadhi ya mambo mengne meng sana ambayo huweza kuturudisha nyuma na pia kutupeleka mbele.
Naomba sasa usiweze kuogopa tena katika kupiga hatua zako as mafanikio daima piga hatua za kwenda mbele ili zizid kukupatia mafanikio .usiogope kuwepo kwa vikwazo ,vitusho na changamoto nying zilizopo nakusihi KAZA BUTI SAFARI BADO NI NDEFU SANA ILI TUFIKIE MALENGO YETU .
Mfano halisi katika hiyo picha unaona aliye upande wa kulia anapiga hatua za kwenda mbele anapanda ngazna aliyeko kushoto kaanguka kwa maana alikuwa akirud kwa kupiga hatua za kurud nyuma ambacho ni kitu kitakachokuletea kuanguka tu.
endelea kusoma na makala zingne zilizopo ili uzd kuongeza ujuz katika nyanja yetu ya mafanikio .
By Mr B mwampulule
No comments:
Post a Comment