Tuesday, March 7, 2017

Wajua siri ya mafanikio yako iko hapa

Habari ndg yangu natambua kila siku huwa wahangaika sana na changamoto za hapa n.a. pale ili ulifikie lengo lako .
Nakupa hongera sana endapo huwa wafanya hvyo .
Lakn jiulize ni kipi ukifanyacho kila siku ili kije kuwa ni njia mojawapo ya ndoto yako.
Je wafanya kaz pasipo kuwa n.a. malengo ?
kwa nn usiwe n.a. malengo ?
Je wadhani unaweza K ufanikiwa pasipo kuwa n.a. lengo ?

Ndg yangu kila siku tambua ili ndoto itimie lazma ufanya kaz kwa malengo.
ambapo hayo malengo yamegawanyikaa katika sehem tatu ambazo ni
  1; Malengo ya muda mfupi
   2:malengo ya Kati
   3. Malengo ya muda mrefu

Tukianza n.a. lengo la muda mfupi
Hili ni lengo ambalo huwa lina mipango ya muda mfupi kama saa ;siku:wiki,mwezi n.k
Ambapo katika haya huwepo mahitaji Yale ya muhimu sana kama
   CHAKULA
   Nauli
   Matibabu
   Dhalula
  Umeme
Ad a
Hayo ni baadhi kulingana n.a. kila mmoja mipangilio yake .

Usikose kupitia ukurasa huu kwa ajili ya kujua aina ya pili ya malengo ambayo MAFANIKIO yako yamejificha hapo.

No comments:

Post a Comment