Wednesday, March 8, 2017

AINA ZA MALENGO

Habari ndg jamaa n.a. rafiki yangu katika kuendeleza aina ya male go

Leo tuko aina pili ambayo ni malengo ya KATI.

Kila niongeleapo haya huwa ni mojawapo ya malengo ambayo ni muhimu sana ambapo pasipo kuwepo haya huwez kufikia ndoto yako.

Ambapo haya ni malengo ambayo ndiyo daraja mojawapo la kukupeleka katika malengo Yale ya muda mrefu.

Kwa maana haya huwa ndio hufanya kazi ya kuzd kukuongezea hatua kila siku Kwa maana ni njia ambayo ni vema upitie kufikia kilelen.

Ambapo pia haya malengo yanategemea Yale malengo uliyoyafanya katika malengo ya muda mfupi .kama lengo la  saa ; lengo la siku ,lengo la mwezi.n.k

Hilo lengo la Kati huzd kukupa hamasa n.a. nguvu ya kuendelea mbele.

Kwa hiyo kwa Yule ambaye huwa ni mtu mwenye malengo makubwa huwa anayatumia sana haya malengo ili afikie ndoto yake.

Ninashukuru napenda kukuona ukifanikiwa

No comments:

Post a Comment