Friday, March 3, 2017

FANYIA KAZ NDOTO ZAKO

Daima katika maisha hakuna mtu asiye na ndoto ya kuitimiza maishani mwake
Kwa maana kila mmoja wetu Ana kusudi lake hapa chini ya jua kwa sababu hakuna aliyezaliwa kwa bahati mbaya .
Tambua hujazaliwa kwa bahati mbaya kwa sababu MUNGU alivyokuumba  alikuleta duniani ili uje utekeleze majukumu yako aliyokipatia ndani yako.

Je unatambua kwa nn uliletwa duniani kutimiza majukumu yaliyokuleta?
NI kwa sababu MUNGU anatambua uwepo wako una manufaa gani katika jamii n.a. dunia nzima kupitia ww.

Je WATAMBUA YA KWAMBA uwezo ulionao ww ni tofauti na mwingine
  Ndio kuna utofauti mkubwa sana Kati yako ww na mtu mwingne Kwa maana kila mmoja anasifa fulani ambayo ni ya kitofauti sana n.a. mwingne.

Japokuwa wote ni binadamu ambapo tupo wanaume n.a. wanawake.
  Kama hspo kila mmoja Ana sifa zake kwa jins tulivyo.
  Pia katika wanaume wote tu sawa kimaumbile lakn kila mmoja anakitu chakwake binafsi ambacho mwingine hana ambacho ndicho kilichomo ndani yake.
Ili akioneshe n.a. akitimize kwa sababu ni jukumu lake.

Asante siku njema

No comments:

Post a Comment