Wednesday, March 8, 2017

SABABU YA KUSHINDWA KUFIKIA MAFANIKIO

Habari ndg yangu ,rafiki yangu ,jamaa yangu natumai u mzma wa afya kwa uwezo wa MUNGU.
  Ninapenda tumslizie aina ya mwisho ya malengo ambayo ndiyo kilele katika mafanikio yako .

Haya ni malengo YA MUDA MREFU.
  haya ni aina ya malengo ambayo huwa ndio chachu ya mabadiliko yako kwa kila mmoja .
Ambapo ili ufikie huku ni lazma uwe mvumilivu n.a. mwenye subira ya hali ya juu kwa maana huwa ni malengo uliyoandaa baada ya muda fulani.

Haya malengo huwa ni ya muda mrefu ambapo ndiyo hukubadilisha kabisaaa kutoka level uliyo nayo n.a. kwenda nyingne.

Mfano waweza kuwa umejiwekea malengo ya kwamba baadae  ya miaka mitano ,kumi n.k
Ndio Hilo lengo lako liwe limekamilika huwa kweli lakamilika kwa sababu liko ndani ya ndoto yako.
Pia tambua ukiwa n.a. ndoto kubwa Kama hiyo ukiwa mvumilivu utafika tu kwa maana unakuwa umeamua n.a. umethubutu kuifanyia kaz hiyo uliyo nayo n.a. itakamilika n.a. kuona mabadiliko.

Mfano kwa Yule awekaye akiba kwa kununua hisa huyu mtu baada ya muda wa miaka kadhaa sio mwenye matokeo yaleyale kwa maana akiwa ameweka lengo huko atajikuta kipato chaongezeka kila baada ya kupokea gawio lake.
N.a. pia mwisho wa siku atakapokuja kuuza anaweza kuuza bei ya juu kuliko Ile ya mwanzo kwa Hiyo anakuja anaenda n.a. lengo lake.

NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA.

No comments:

Post a Comment