Ndg yangu kila siku ianzapo huwa wakutana n.a. mambo mengi sana ambayo huwa yanakusumbua sana akili mpaka pasipo kujua ufanyaje.
Usihofu sasa fanya lile lifanyikalo muda huo ili uzd kusonga mbele kwa maana hayo upitiayo ni miongini mwa mitihani yako inabidi uifanye ili ufikie kilelen.
Yasikukatishe tamaa twende tusonge mbele tutakutana n.a. mengne ambayo yatatufanya tuzd kujifunza vitu katika safari y etu
.
MAFANIKIO hayaji kilele mama lazma tupambane sana ipasavyo tutakuwa sote bega kwa bega sitaki nikuache ili tufikie mslengo .
No comments:
Post a Comment