Kila siku katika jamii y etu ikuzungukayo kuna mambo mengi sana yanayotuzunguka n.a. pia kuna watu weng sana tunaoish nao pamoja .
Ambapo katika hao n.a. hayo tunayoish nayo huwa kuna mambo ambayo ni chachu ya ww ufanikiwe au ushindwe kutokana n.a. namna gani tunayachukulia n.a. namna gani yanatuingia akilin mwetu kwa sababu kila mmoja huwa Ana namna yake ya kufikiri.
Katika hayo mambo yaendeleayo yanatakiwa kuyafikilia kiumakini ili isiwe chachu ya kuturudisha nyuma daima ili tuzd kusonga mbele kutoka hapa tulipo kuelekea pengine.
USiogope maneno ya watu Yule kusema hiki hyu kasema hili .
Hayo maneno yasikuumize akili kwa maana yipo atakaye ushindwe n.a. mwingne ataka ushinde
So Hilo ni daraja lako ww kufika mbali daima.
No comments:
Post a Comment