Habari ndg jamaa na marafiki z angu natumai mu wazma wa afya kwa uweze wa mwenyezi MUNGU.
Siku ya leo napenda tuangalie swala moja ambalo ni muhimu na huwa ndio chanzo cha mafanikio yet daima katika nyanja yeyote kama elimu biashara n.k
Ambalo hilo swala ni KUJIKUBALI KUWA UNAWEZA kwa maana ya kwamba hakuna mtu yeyote ambaye hawezi kufanya maamuz na kufanya jambo .Bali kitu ambacho kinasumbua ni neno KUTHUBUTU .
Unajua kila siku ukiwa unajiamini ya kwamba unaweza hakuna jambo Lolote ambalo litakuletea wakati mgumu kwa sababu pale uaminipo kuwa hili linawezekana kwa njia yoyote Ile lazma litawezekana kwa sababu ww mwenyewe ndio mwenye maamuz .
Mfano unahitaji kujenga nyumba ya kifahari lakn kwa muda huo hauna kipato cha kujenga hvo pamoja n.a. hvo unajua hiki kiasi nilichonacho kitanifikisha mahali fulani nakusihi ww Anza nacho tu kwa maana hakuna mtu ambaye alizaliwa n.a. akawa navyo hvyo uvionavyo anavyo.
Ndugu yangu mafanikio yanawezekana kwa maana hakuna aliyeumbwa kushindwa hata siku moja na ili uweze kushinda lazma ujiamini ya kwamba mm ninaweza tu kwa uweza wa mwenyezi MUNGU.
Usiogope kwa kuwa una hali ya namna gan ndg yangu unaweza kufanya mabadiliko n.a. ukiwa katika hali uliyonayo kesho tunakuona katika hali nyingne ndg fanya maamuz sasa ili uweze k ufanikiwa.
Napenda kuona wote tukifanikiwa na kutoka hali tuliyonayo n.a. kwenda hali nzuri zaid.
Nawatakia siku njema.
By Mr b mwampulule
No comments:
Post a Comment