Tuesday, November 8, 2016

KUPATA MAFANIKIO

Habari za Leo ndg jamaa na rafiki yangu natumai mu wazma .karibuni tena na kwa wakati mwingne katika kuzd kujifunza baadhi ya harakati zitakazo tuletea mafanikio.
   
    Daima kila siku upendapo kupata mafanikio lazma ww uwe umejitoa kweli ili ufanikiwe kwa maana kwamba

   Usiogope maneno ya watu yatakayo kukatisha Tamara
  Usiogope na pia pambana ipasavyo katika hali uliyonayo ili uweze ufanikiwe
  Usiogope ya kwamba ukifanya hv sijui sijui itakuwaje

Bali kumbuka ya kwamba hayo mabadiliko uyatakayo ni ya kwako ww na familia yako.

Na pia hakuna mtu yeyote atakayekuja kukusaidia majukumu yako   
  Kwa maana kila mmoja atakuwa anashughulika na mambo yake.

   Asanten sana kwa Hilo naomba mlitafakari na kulifanyia kazi vzr  kwa ajili ya kupata mafanikio.
    
Nawatakia siku njema 
NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA.
   BY MR B.MWAMPULULE.

No comments:

Post a Comment