Monday, November 14, 2016

JE WATAMBUA WW NI BUSTANI?

Ndugu yangu watambua ya kwamba ww ni BUSTANI?
   Je unajua kwa nn uitwe bustani?

Je ndani ya bustani huwa kunapatikana kitu gani?

Je ndani ya bustani tunapanda nn?

Je ni kitu gani chahitajika ili kuwa na bustani yako izae matunda mazuri?

Je katika bustani huwa unapendrlea kupanda nn?

Je ukipalilia bustani unategemea upate matunda gan?

Je usipopalilia bustani utapata nn?

Je utatumia njia gani endapo BUSTANI yako itatoa matunda usiyoyategemea?

Hv katika bustan yako unapendelea kuanza mmea gani ili uanzishe bustani yako?

Je kipind cha kiangaz huwa unatumia njia gan kuifanya bustani yako Iwe kama upendavyo?

Je huwa unapenda kupanda mbegu isiyokuwa na matunda mazuri?

Je uko tayari kuitunza bustani ambayo haizai matunda?

Je utafanya nn endapo bustani yako haijaridhika nayo?

Je hiyo bustani yako huwa unaihudumia kwa ratiba Gan au ratiba ya namna gan?

Ndg yangu naomba kwa Leo tutafakari na kuyafanyia kazi hayo baadhi ya maswali .

Naomba kipind kijacho utapata kuelewa ni nn maana ya maswali hayo na maana ya bustani hiyo.

NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA

By mr B MWAMPULULE
0755778896
barakaasajilemwakyoma@gmail.com

No comments:

Post a Comment