Habari za asubuhi ndg jamaa n.a. rafiki zangu natumai wote mu wazma.
Tunamshukuru MUNGU kwa wema wake kwa kuzd kutupatia pumzi mpaka muda huu kwa maana kuwa una jukumu maalum ulilowekewa ndani yako linahitajika kukamilika .
Ndugu yangu siku ya Leo napenda nikukuumbushe na kukusisitiza ya kwamba ukitaka kupata mafanikio katika Maisha ni lazma uweze kujikubali ya kwamba unaweza na ujianze ww mwenyewe ukiwa kioo cha mwingne k ufanikiwa .
Mfano unajua katika jamii yetu ituzungukayo huwa kuna tabia ya kuangalia watoto au watu walio n.a. uwezon.a. wasio na uwezo ambapo kila siku utasikia nataka kuwa kama Yule kwa maana Ana uwezo lakn huo hauwezi kama mwenyewe huwajibuki .
Daima ukitaka hayo mafanikio lazma uwajibike ipasavyo kwa maana huwa kuna ngazi za mafanikio kutokea chin mpaka kufikia Killeen.
Asnte sana ndg yangu nakutakia siku njema na majukumu memaaa.
NAPENDA KUONA UKIFANIKIWA.
BY MR B MWAMPULULE.
No comments:
Post a Comment