Habari ndg yangu karibu kwa mara nyingne katika kuweza kutambua ya kwamba kwa nn uitwe bustani ndg yangu.
Tambua ya kwamba BUSTANI ambayio tunaizungumzia kwetu sisi ni AKILI AU UBONGO.
Kwa maana hiyo tambua ya kwamba sisi hapa tulipo tuna akili ambayo tunahitaji kuifanyia kaz katika kutuletea mafanikio katika maisha yetu ya kila siku.
Na pia hii bustani huwa inakuwa na maamuz yako ww muhusika katika kuamua ni kitu gan kilicho kizuri kukifanya na kipi kisicho chemo.
Kumbuka ndani ya akili yako huwa kuna uwezo mkubwa sana wa kuweza kuamua jambo na maamuz yaliyo sahihi katika Marsha yako .
Lakn je ndg yangu umejiandaaje kuitunza bustani yako ?
Umejiandaaje katika kupanda mazao mazuri katika bustani yako?
Je umejipangaje katika kuchagua mazao ya kupanda katika bustani yako?
Ndg yangu mpendwa fanya maamuz sahihi katika kuitunza bustani yako ili uweze kupata mafanikio mazuri katika haya maisha .
Usipende kuish katika haya maisha kw mazoea ndg yangu fanya mabadiliko sahihi tangu Sasa.
NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA
By mr B.mwampulule.
No comments:
Post a Comment