Thursday, November 17, 2016

WAPENDA KUPANDA NN KATIKA BUSTANI YAKO.

Habari ndg yangu natumai u mzma
Napenda tuendelee katika kuweza kutambua kuhusu suala la kuwa ww ni BUSTANI.

Ndg yangu kumbuka kutoka katika nakala iliyopita nilielezea kuhusu kwa nini uitwe bustani .

Ambapo nikaeleza ya kwamba kwetu ss bustani ni akili zetu.

Ambapo katika akili yet kuna kila kitu ambacho utweza kukifanya kutokana na maamuz yako.

Sasa siku ya Leo napenda kukuuliza na kuweza kufanunua kuhusu ni kitu gani huwa unapenda kupanda katika bustani yako.

Ambapo maana yake ni kwamba ni kitu gan unapenda au maarifa gan wapenda kuyalpanda kichwani mwako.

Je ndg yangu ww unapenda kupata na kupanda maarifa ya aina gani ili yakusaidie katika maisha yako?

Ewe rafiki yangu na ndg yangu nakuomba na kukushauri ya kwamba pendelea kupata maarifa yenye mantiki na yny faida katika maisha yako ya Leo n.a. baadae.

Kwa maana tukumbuke ya kwamba  muda unazd kwenda na bustann mwako hujaandaa wala kupanda mbegu aina yeyote .je siku zako za usoni utavuna matunda gani kutoka katika bustani yako.

Ndg yangu andaa BUSTANI yako na upande mbegu zilizo bora na uvune mazao yaliyo na faida kubwa sana maishani mwako.

Asante
NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA

By my
Mr B.MWAMPULULE
barakaasajilemwakyoma@gmail.com

No comments:

Post a Comment