Friday, November 4, 2016

MAMBO MUHIMU YA KUYAFAHAMU ILI UFANIKIWE

Habari ndg jamaa na rafiki yangu natumai u mzma wa afya kwa uwezo wa MUNGU.
   Tunashukuru MUNGU kwa kutupatia nafasi nyingne ambayo inatubid tuitumie vema ili tuweze kufikia malengo yetu.

DAIMA katika kufikia kuna vitu muhimu ambavyo i nabidi tuweze kuvifuata na kuvifanyia kazi ipasavyo ambavyo ni
1;Uvumilivu
2:Kujituma  
3:Muda

1:UVUMILIVU 
hii ni Tabia moja na sheria iliyo nzuri sana katika kufikia malengo endapo tukaimudu vema.kwa maana ya kwamba kila utakapo kufikia mahali fulani lazma ujitahid kuvumilia hata kama unakutana na vikwazo ving ndg yangu kwa maana mafanikio huwa hayaji pasipo uvumilivu.
Mfano:mtoto aanzapo shule  (chekechea)huwa anajiuliza sana ya kwamba hv mm lini nitamaliza hadi chuo kikuu?   ambapo huwa anakosa Majibu lakn akimuuliza mzazi anamwambia mwanangu vumilia ipo siku utafika kule.kwa sababu amazed kujipa moyo ya kwamba hata mm nitafika tu.

2;KUJITUMA
ndg yangu hili ni jambo kubwa sana na la muhimu ambapo pasipo Kujituma huwezi kufikia lengo lako kwa maana hilo lengo uliyakalo pasipo Kujituma huwezi kufikia.

3;MUDA
  hapa sasa ndg ndio penye siri nying zimejificha hapa .kwa maana
   Kila jambo ulitakalo kulifanikisha liwekee muda wa kuwa kufikia muda huu inabid niwe nimekamolisha hili au lile .
  Mfano ww hapo ndg yangu una lengo la kuwa mfanyabiashara mkubwa , kuwa na kampuni kubwa,kujiajiri mwenyewe,n.k lakn je unataka ufanye hivyo kwa muda gan?kwa maana sio una kuwa na ndoto lakn hujui itakamilika kwa muda upi uliojipangia hilo jambo litakusumbua sana na kila siku.

Asante sana kwa Leo niishie hapa naomba tuendelee kesho katika kitu kingne ambacho tutazd kukichambua zaid .
Asante nawatakia siku njema na pia endelelea kupitia Mara kwa Mara kwa ajili ya kuweza kujifunza ving .

Napenda kuona kila mmoja akifanikiwa

By Mr B mwampulule

No comments:

Post a Comment