Habari za Leo ndg jamaa na rafiki yangu natumai mu wazma .karibuni tena na kwa wakati mwingne katika kuzd kujifunza baadhi ya harakati zitakazo tuletea mafanikio.
Daima kila siku upendapo kupata mafanikio lazma ww uwe umejitoa kweli ili ufanikiwe kwa maana kwamba
Usiogope maneno ya watu yatakayo kukatisha Tamara
Usiogope na pia pambana ipasavyo katika hali uliyonayo ili uweze ufanikiwe
Usiogope ya kwamba ukifanya hv sijui sijui itakuwaje
Bali kumbuka ya kwamba hayo mabadiliko uyatakayo ni ya kwako ww na familia yako.
Na pia hakuna mtu yeyote atakayekuja kukusaidia majukumu yako
Kwa maana kila mmoja atakuwa anashughulika na mambo yake.
Asanten sana kwa Hilo naomba mlitafakari na kulifanyia kazi vzr kwa ajili ya kupata mafanikio.
Nawatakia siku njema
NAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA.
BY MR B.MWAMPULULE.
No comments:
Post a Comment